Natural gas extends surge. 18 percent just today..unbelievable!

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Bei ya natural gas kwenye soko la dunia leo imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 18 peke yake. Hii ni tofauti kubwa sana na fluctuation ya less than 1 percent ambayo imezoleka kwa siku.

Hii imenifanya ni jiulize kuhusu gesi yetu ya Mtwara na Ophir company. Je, sisi tutanufaikaje na ile ongezeko kubwa?
 
Hiyo gesi ya Mtwara sehemu kubwa mkulu alidai imekabidhiwa kwa mabepari.

Haya ndio yanaweza kuwa ni matokeo ya kupitisha miswaada nyeti kwa hati ya dharura na kutamka ndiioooo kwa karibu kila kitu.
 
Hivi JPM hawezi kuwaadhibu wale wote walioitikia ndioooo kwenye kupitisha hiyo miswada? Just asking.
Mikataba 17 ilikuwa siri,sheria ya mafuta na gas nayo ilienda kwa hati ya dharura na kupitishwa fasta fasta,na JPM mwenyewe alisema ndiyooo!Pia kwenye baraza la mawaziri aliafiki mikataba ile 17!
 
Hivi JPM hawezi kuwaadhibu wale wote walioitikia ndioooo kwenye kupitisha hiyo miswada? Just asking.
Akiwaadhibu si mtaanza kulialia kama munavyowatetea ACACIA na Barick? Nyie Wtz ni wa hovyo tu. Bora JPM ajihangaikie na Stigler Gorge pengine itasaidia kupunguza makali ya nishati huko mbeleni.
 
Bei ya natural gas kwenye soko la dunia leo imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 18 peke yake. Hii ni tofauti kubwa sana na fluctuation ya less than 1 percent ambayo imezoleka kwa siku.

Hii imenifanya ni jiulize kuhusu gesi yetu ya Mtwara na Ophir company. Je, sisi tutanufaikaje na ile ongezeko kubwa?
Kwani gesi yetu imeishaanza kuingizwa sokoni?.

Hata ingekuwa imeanza, gesi ni yetu ikiwemo ardhini, lakini ikiisha chimbwa sii yetu, ni gesi ya aliyechimba.

Gesi asili: Is it "day light robbery?!" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe! - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom