Natumiaje kompyuta kupata kipato?

Jishushe anza kuchapa barua ktk karatasi za A4 kwa wateja wanaohitaji kuandikiwa barua-rasmi , ku design kadi za mialiko n.k kisha ndiyo uanze kujiingiza ktk mambo ya video editing n.k nina uhakika ktk mji huo mdogo taratibu utaibuka tena.
Huu ndiyo Ushauri wa Dhahabu Kwake. Kazi Kwake sasa Kuufanyia Kazi tena haraka sana.
 
duuuuuuh mwanang hii idea mbna kma nzuri sana aseeee
 
duuuuuuh mwanang hii idea mbna kma nzuri sana aseeee
Kak nimejaribu kupitia account kama tatu tu zinazo piga izo issues nimeona ni motooooooo, nimewaza mengi kuwa kumbe kuna fursa zenye hela nzuri ila tumezikalia bila kujua
 
Kak nimejaribu kupitia account kama tatu tu zinazo piga izo issues nimeona ni motooooooo, nimewaza mengi kuwa kumbe kuna fursa zenye hela nzuri ila tumezikalia bila kujua
namna ya kujiunga nimeshajua imebaki namna uya kupiga kazi sasa naomba maelekezo ndgu
 
namna ya kujiunga nimeshajua imebaki namna uya kupiga kazi sasa naomba maelekezo ndgu
Mimi bado sijaanza ila ndio nipo kwenye kukamilisha mchakato nianze labda tusubiri kaka Fiati aje maana ndio aliye leta wazo hili na yeye amesema amesha anza tayari
 
Fanya kazi online Kwa mtaji wa muda wako, ushawishi na bandle lako

Jaribu hii πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ aihitaji kuwekeza mtaji zaidi ya kushawishi watu kujiunga na kusambaza link

Utaingiza pesa Kila siku na % Kwa Kila atakayejiunga kupitia link hii

Pesa yako itaingia moja Kwa moja kwenye simu Kwa kulingana na namba yako utakayotaka ipokee pesa

Fata link hii kujiunga

 
Wapelekee hiyo link ukoo wako wapate hizo hela za bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…