mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
Taja hio mizinguo, inazingua kitu gani na gani?! na mimi nijue
Sina uwezo wa kufungua instagram hasa video... Nikianza fungua inaruka na kunitoa nje..
Taja hio mizinguo, inazingua kitu gani na gani?! na mimi nijue
unatumia 6tag?Sina uwezo wa kufungua instagram hasa video... Nikianza fungua inaruka na kunitoa nje..
unatumia 6tag?
utofauti wake nini?6tag natumia, ipo tofauti na instagram.