Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,451
- 12,735
Hakuna jambo lisilo na mwanzo wala mwisho, pia kutangulia kuondoka si kuwahi kufika, japo mgeni humu ila natumai tutaenda sambamba, natagemea ukaribisho mwema.
Swadakta....Hakuna jambo lisilo na mwanzo wala mwisho, pia kutangulia kuondoka si kuwahi kufika, japo mgeni humu ila natumai tutaenda sambamba, natagemea ukaribisho mwema.
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
[Asante sana, ila hapo kwa mjukuu umenipiga kitu kizito, ingekua hata mtoto ingekua safi kidogo.]
Asante sana mkuu japo nimesha kuwa mwenyeji tearKaribu sana mkuu
Nipo South Korea mkuuUmejiunga kwa vpn au uko merkanii?
Karibu ndugu,je umeshuka kutoka Burundi au kigoma?Hakuna jambo lisilo na mwanzo wala mwisho, pia kutangulia kuondoka si kuwahi kufika, japo mgeni humu ila natumai tutaenda sambamba, natagemea ukaribisho mwema.
South KoreaKaribu ndugu,je umeshuka kutoka Burundi au kigoma?
Ila muda huu tuna kunywa mchuzi tu nyama zimetuama chini ya supu au ndiyo umetia timu kuziopoa nyama zilizotuama chini ya mchuzi?South Korea
Hakuna kuacha kitu hapaIla muda huu tuna kunywa mchuzi tu nyama zimetuama chini ya supu au ndiyo umetia timu kuziopoa nyama zilizotuama chini ya mchuzi?