starlet


  1. K

    NATUFUTA VITZ, PASSO AU STARLET, BUDGET TSH4 MIL

    Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga. Kwa walio serious wanicheki...
Top