Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

Naitaji gari nzuri ya mkononi, bajeti yangu ni.....

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
500
Reaction score
888
Naitaji gari nzuri iliyotumika lakini iwe ipo katika hali nzuri.

Iwe na sifa zifatazo

Cc zisizidi 1500

Gari iwe namba D au C iliyo katika hali nzuri

Isiwe imepata ajari

Isiwe imerudiwa rangi wala mikwaruzo

Iwe toyota but sio vitz,passo au ist

Bajeti yangu haizidi Mil 6

Ni pm au weka picha hapa na bei then nitakupm
 
Maajabu hayaishi duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom