mkuu Deception pita huku msaada wako unahitajika
Ndugu yangu Mr. Mangi hii ni kazi ngumu sana.Ugumu wake unakuja pale watu wanapokuwa hawana time kabisa ya kufuatilia kile unachowasilisha na hata wakifuatilia huwa wanarudishwa nyuma na kasumba.Inahitaji kujitoa sana kiakili ili mtu aweze kujua ukweli kuhusu swala hili la HIV/AIDS ambalo limeshaota mizizi zaidi ya miaka 30.Ukiwaambia watu kwamba HIV hana madhara kwenye kinga ya mtu utaonekana chizi wa kutupa kwa kuwa watu wengi hawafahamu mambo mengi sana yanayoendelea dunia hii ambayo ukiyaunganisha ndio utapata jibu sahihi kwamba HIV/AIDS ni ugonjwa feki.Nawahurumia sana watu kwa kukosa huu uelewa na muda wa kudadisi mambo haya.Kwa wale wenye nia ya kujitoa katika kifungo hiki hebu waanzie hapa chini.
10 scientific arguments why HIV can not cause AIDS(by Prof.Peter Duesberg):
https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0