Mushka
Member
- Nov 15, 2014
- 25
- 11
Wadau habari zenu,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 31, nimepima afya na kukutwa nina maambukizi ya VVU.Natafuta mke wa kuoa mwenye maambukizi kama mm ili tuishi kwa matumaini.
Sina masihara katika jambo hili, mimi ni mkristo na ningependa apatikane mkristo mwenzangu ili kusiwe na vikwazo vya ndoa. Naishi Dar nina afya njema kiasi kwamba ningeweza oa mwanamke yeyote yule.
Ila kwakutambua kuwa ni kosa kufanya hivyo ndiyo maana nimelileta kwenu wadau.Sina masihara kwenye jambo hili. Mwenye nia ya dhati anipm.
Asanteni