benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Habari, kama title inavyojieleza hapo juu. Natafuta studio ya kufanya nao kazi ya kureokodi simulizi za hadithi kwa mkataba. Kama upo tayari nichek PM tuongee namna tutakavyofanya kazi . Asante , nipo Dar.