yani kwa hayo aliyofanya me naona za mwizi ziwe hata 13 tu.Hakuna marefu yasiyo na ncha, xaxa nasubulia tu " siku za mwizi 40". nione mziki wake kwani nshakusoma .
Absolutely nothing acha kutudanganya honeythi wewe.
u know br some people get me wrong sio nimeleta uzi kujifagilia but to my side kuweka hadhani nimepata big reliefPapuchi hazinaga uzee! ila kuwa kitombi ni tatizo.
isaidie nini kukudanganya kakaFantasy!
Napita...