Natubu dhambi

na ndo kinachokupa hiyo guilty

dogo kaingia kakuta unalikunja jicho

ACHA HIYO DHAMBI VINGINEVYO KILA SIKU UTAKUA UNATUBU

hapana sikumla jicho,wakina dada wabongo wanapenda sana kuliwa jicho
 
falcon mombasa

Acha uboya wewe,kama huyo mama hajaolewa unaanya nini? Au huyo chalii ake
 
Last edited by a moderator:
falcon mombasa

Hapa mkuu umeongeza dhambi nyingine kama tatu, moja umbea pili kumdharirisha yule mama na tatu kumdharirisha yule kijana, na mwisho wenda ata sala yako ya toba isipokelewe maana umeanza kutubu kwa wanadamu badala ya Mungu...!
 
mbona unanitisha mkuu,dhambi tatu kivipi? mi najua dhambi hapo ni moja tu
 
Mimi naona unajisifia tu kwa maana auwezi kutubu dhambi kwa kujitangaza
Bali unaweza kutubu dhambi kwa kukiri kosa kwa dhati toka ndani ya moyo wako uku ukimuomba na kumuaidi mungu wako kua hautorudia tena kutenda dhambi
Hivyo ndivyo toba inavyotakiwa kua
 
kudhini ni jambo la kujisifia mkuu? we unapenda kufanya uzinzi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…