Unahisi ukifanya nini ndio utapata peace of mind? Kwa Sababu haikua kosa lako, ni Ajali, je huyo mama unahisi Au bado unaendelea nae? Umeridhika na yeye au unafanya Kwa sababu Ya ugumu wa maisha?
alinipata kirahis sababu sikuwa na specific room ya kuish ,halafu ndio nilikuwa naanza biznes ya mtaji mdogo ,hata kula nikawa nalishwa na mademu,mimi ni mkatoliki nafikiri nikimshirikisha mungu akili itatulia
Kama unajiona mkosaji basi yawezekana u mkosaji. Umeamua vizuri kushusha hilo zigo toka akilini lakini tambua kuwa inawezekana hujamkosea huyo Mama bali umejikosea mwenye kutokana na misingi yako ya kiimani nakadhalika. Tafuta amani na moyo wako then move, achana na mawazo ya hatia.
Hahahaaa, Mombasa ni noma. Kama aliburudika ya nini kujihangaisha na hatia? Yaliyopita si ndwele agange yajayo only tu achukue somo kutokana na hiyo experience asije akajikera tena huko mbeleni.....lol
Haaaaaaaah haaaaaaah hiyo ni poa sana..! Soo kila ukipita road unaitwa Mtz.! Itabidi niwe nakuja huko nkipata likizo nije kula ngamia koz bata wachafu sana
we kweli ndo haunazo unakuja kutubu huku ase em nenda mahali husika ukatubu mungu akusamehe kabla ujafa maana si zani kama unajua dhambi ya kuzn na mke wa mtu
Haaaaaaaah haaaaaaah hiyo ni poa sana..! Soo kila ukipita road unaitwa Mtz.! Itabidi niwe nakuja huko nkipata likizo nije kula ngamia koz bata wachafu sana