Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

Natoka bara kwenda Dar. Je, sitaibiwa pesa?

sio kosa lako, hebu nenda kanunue suit yako Igulwa na viatu fata Runzewe halafu uje ukaguliwe

Lady, nilianzia Runzewe, Msonga, igulwa, Katente, Butambala, Lyamba, Mwalo, Bukombe hadi Masumbwe.
Hoko pote nilikosa mchumba kisa ninaka suit kalikochoka. Usinione mjinga kuandaa safari ya kwenda D-S-M.
Vp, nikisha nunua nikutafute unikague?
 
bila shaka ukisha meremeta tu we nitafute, msalimie kota Sele na Rabis
 
Nikushauri kidogo ushiboy , ukifika dar lazima uwe mjanja la sivyo watakupora kila kitu na kukuwowa juu. Cha kufanya ukishuka tu pale terminal kunja mikono ya shati na suruali kunja mguu wa kushoto, afu nunua sigara anza kuvuta huku ukirukaruka na kuchanganya mikono kama bondia,atakayekusogelea unamtisha kama unataka kumlamba ngumi, hapo kila mtu atajua wewe wa hapahapa mjini, ndo tunavyoishi wenzio wazoefu kama Mtambuzi, Asprin Kaizer Bishanga, watu8, Paw na ma alwatan wengine bongo hapa
 
Last edited by a moderator:
Nikushauri kidogo ushiboy , ukifika dar lazima uwe mjanja la sivyo watakupora kila kitu na kukuwowa juu. Cha kufanya ukishuka tu pale terminal kunja mikono ya shati na suruali kunja mguu wa kushoto, afu nunua sigara anza kuvuta huku ukirukaruka na kuchanganya mikono kama bondia,atakayekusogelea unamtisha kama unataka kumlamba ngumi, hapo kila mtu atajua wewe wa hapahapa mjini, ndo tunavyoishi wenzio wazoefu kama Mtambuzi, Asprin Kaizer Bishanga, watu8, Paw na ma alwatan wengine bongo hapa...
 
Last edited by a moderator:
Nikushauri kidogo ushiboy , ukifika dar lazima uwe mjanja la sivyo watakupora kila kitu na kukuwowa juu. Cha kufanya ukishuka tu pale terminal kunja mikono ya shati na suruali kunja mguu wa kushoto, afu nunua sigara anza kuvuta huku ukirukaruka na kuchanganya mikono kama bondia,atakayekusogelea unamtisha kama unataka kumlamba ngumi, hapo kila mtu atajua wewe wa hapahapa mjini, ndo tunavyoishi wenzio wazoefu kama Mtambuzi, Asprin Kaizer Bishanga, watu8, Paw na ma alwatan wengine bongo hapa

Hivi unajua unatuharibia deal...???
 
Hivi unajua unatuharibia deal...???

Huyu si wa kumuingiza mjini, vipesa vyenyewe hata kondom havitoshi kununua, mavuno ya alizeti hayakuwa mazuri kwake mwaka huu
 
dah..!! Nishauza mazao na ninavibunda vya wekundu kwenye mfuko wa jacket. Nakwenda dar kununua suit na 4angle za kutafunia bata nikirudi bara, pia natakaninunue radio na baisikeli huyooooo..... Narudi bara. Naimba mnitakie safari njema na mniombee nisiibiwe begi la nguo nikifika ubungo teminal.

mabwakuu, upo jamani! Za siku mingi?
 
bila shaka ukisha meremeta tu we nitafute, msalimie kota Sele na Rabis

Tukutafuta kama nita bahatisha kuvuka barabara za lami, maana nimetahadharishwa kwamba Dar magari yana shonana kasiafu.
Siwezi kuwasalimia wale wanunua dhahabu waoooga, hawaji lipui kwa pamba, hawakichanganyi people's, wadutya zaidi ya kutafuna mishkaki ya 300 pale gaza, then saa 19hr00 haooo... ndani.
Sijui wana mihela ya ndagu!!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom