tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Kampuni moja kubwa ya usambazaji wa mafuta ya petrol diesel na mafuta ya taa yenye ofisi zake kurasini na kumiliki vituo mbalimbali vya mafuta daresalam, arusha, morogoro na iringa imefirisika, mwa mujibu wa taalifa toka ndani kampuni iyo imekosa kabisa mtaji na kushidwa kusambaza mafuta kwa wateja wake hivyo kulazimu kuifunga depot yake sambamba na vituo vyake katika mikoa husika, ikiwa pamoja na kuwapa likizo wafanyakazi wake woote