Natoa mikopo kwa walimu tu.

Todito

Senior Member
Feb 6, 2013
154
357
January ni mwezi mgumu.

Natoa mikopo kwa walimu(wafanyakazi wengine nafasi ni chache)
 
January ni mwezi mgumu.

Natoa mikopo kwa walimu(wafanyakazi wengine nafasi ni chache) hasa wa serikali kwa riba ya asilimia 13%.

Mkopo usiozidi 200,000 na unalipwa wote utakapopata mshahara

Mikoa ya Arusha, Moshi na Manyara tu

wahitaji tuwasiliane PM nitahitaji kujiridhisha kama wewe ni mwalimu kabla ya kukupa mkopo
Una usajili wa Benki kuu kuendesha micro finance.....kama huna subiri oparasheni ya jeshi ikukute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
January ni mwezi mgumu.

Natoa mikopo kwa walimu(wafanyakazi wengine nafasi ni chache) hasa wa serikali kwa riba ya asilimia 13%.

Mkopo usiozidi 200,000 na unalipwa wote utakapopata mshahara

Mikoa ya Arusha, Moshi na Manyara tu

wahitaji tuwasiliane PM nitahitaji kujiridhisha kama wewe ni mwalimu kabla ya kukupa mkopo
Huu Upuuzi unaoufanya sidhani kama utafanikiwa Siku hizi Mabenk yana Salary Advance Bank za CRDB na NMB ambayo ndo ya waalimu sasa cause wamejazana huko
 
Mnahitaji wangapi?
Manyanyaso yapo wapi hapo?
walio serious nafanya nao mazungumzo
Kaa na fikra zako

mkuu hio hela ni ndogo,na sharti la kurudisha YOTE,ni gumu,hujawasaidia walimu.mkuu,ukiamua kufanya kitu,kifanye kwa moyo wote.
 
January ni mwezi mgumu.

Natoa mikopo kwa walimu(wafanyakazi wengine nafasi ni chache) hasa wa serikali kwa riba ya asilimia 13%.

Mkopo usiozidi 200,000 na unalipwa wote utakapopata mshahara

Mikoa ya Arusha, Moshi na Manyara tu

wahitaji tuwasiliane PM nitahitaji kujiridhisha kama wewe ni mwalimu kabla ya kukupa mkopo
Moshi n mkoa????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom