Natoa mafunzo ya utengenezaji bidhaa

Natoa mafunzo ya utengenezaji bidhaa

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
814
Reaction score
653
Habari zenu wadau,natoa mafunzo ya ujasiriamali namna ya kutengeneza bidhaa mbalimbali mfano,sabuni za unga,sabuni za maji,dawa za chooni,tiles cleaner,sabuni za miche,shampoo,mafuta ya mgando,tomato sauce,jam na clips.mafunzo haya natoa kwa njia ya mtandao yani,email,facebook..gharama Tsh.8000 kwa bidhaa zote,karibu sasa ujipatie maarifa kwa bei sawa na bure.nipo Morogoro mjini mawasiliano yangu E-mail;khalidfundi@gmail.com,simu namba 0768956564,0719271039..FACEBOOK ACC;khaled khalid.
 
Ndugu umetoa wazo zuri sana ila sasa hiyo njia unayotumia kusema unatoa kwa njia ya mtandao ndo inatia wasiwasi. Sina maana kwamba ujumbe hautafika ila uzito wake unapungua kwakuwa si wengi wanaoweza kukuamini kama hawajakuona na wengi hawatumii internet kama chanzo cha kupata maarifa. Hii inatokana na historia ya nchi yetu Tanzania kwamba maswala ya internet yalichelewa sana kuingia. Sababu nyingine ya elimu yako kutowafikia wengi ni kwamba wengi wapo vijijini ambao wangependa kupata maarifa hiyo lakini hawatapata fursa hii. Binafsi navutiwa na utengenezaji wa sabuni ya unga na mche ila nataka ufike kijijini kwangu Karatu mkoa wa Arusha. Hebu tupe mchanganuo wewe unapatikana wapi na kama unaweza kuja je unaweza kutoa mafunzo kwa vijana wangu katika makundi yao ikawa ndo mradi wao wa kujikomboa kimaisha? Mahitaji ya sabuni ya unga na mche ni yapi na faida yake ikoje. Fafanua kidogo huenda kuna wengine watavutiwa humu. Kama kuna mahali ulishatoa mafunzo haya je yamewasaidia kwa kiasi gani kuboresha maisha yao. Funguka ndugu.
 
jenerali,nashukuru Kwa Mawazo Na Ushauri,naamini Maelezo Niliyotoa Yanajitosheleza Kuhusu Kutoa Ushuhuda Wa Watu Waliofanikiwa Naona Hizo Zitakuwa Nipropaganda. Kama Unania Na Mafunzo Tuwasiliane Mbona Mawasiliano Yote Nimeyaanika Hapo Juu.Ahsante Na Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom