Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 600
- 954
- Thread starter
- #521
Hata wewe unayetaka kutuma barua kutoka huko uliko,fanya mawasiliano upewe maelekezo, itapokelewa na itafikishwa eneo husika kama ina changamoto utaambiwa urekebishe nini kulingana na majibu yatakayotolewa na wapokeaji wa sehemu itakatayopokelewa barua husika,hivyo wewe kuambiwa na kufanya marekebisho.Epuka kutumia njia ambayo itakufanya ushindwe kujua kama BARUA BAADA YA KUFUNGULIWA NA WATU WA SEHEMU ILIKOKUA INAENDA,IMEKUTWA NA MAKOSA AU LA.Wasiliana kwa 0765920855 kama wenzako.