Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,395
- 9,174
Did you mean report pdf?Naomba nione sample za cash sale receipt na report pfd zake
Umetumia Aina gani ya Language..Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi-
1-create users with different roles and permissions
2-add stock
3-sell stock
4-truck proft and usage
5-view and export reports
And more
In lab section
Track participant from reception to doctor, lab n.k
Sina documentation hivyo sijaweza kuweka maelezo mengi ila nitauzindua rasmi december 25 na nitaweka full documentation about features and usage
Mfumo ni tsh 150k kwa mwaka kwa pharmacy na lab moja + 20k each year for getting software features and security updates
For who want to host them self must buy it for 650k and 20k tsh each year for features updates
Also kutakuwa na try kwa tsh 50k kutoka tareh 25 december mpaka mwisho wa mwezi wa sita mwakani (only 50 customers)
Get intouch if you want
Samahani kwa mwandiko mbaya
System name CAREFUSION
Php japo nimeona tatizo hasa kukosekana kwa mtandao hivyo baadae nitaprovide dektop app itakayo weka kusave data local na kuupload mtandao utakapo patikanaUmetumia Aina gani ya Language..
Ni PhP au Ni Python??
So Ni online platform?Php japo nimeona tatizo hasa kukosekana kwa mtandao hivyo baadae nitaprovide dektop app itakayo weka kusave data local na kuupload mtandao utakapo patikana
Over all language ni php na java
Kama umenielewa ni online platform ila baadae nitaprovide desktop app ambayo itaweza kusave data local na kuupload using api (hii itafanya kazi ikowa hakuna muunganisho wa mtandao)So Ni online platform?
Nina Maswali mengi sanaKama umenielewa ni online platform ila baadae nitaprovide desktop app ambayo itaweza kusave data local na kuupload using api (hii itafanya kazi ikowa hakuna muunganisho wa mtandao)
Database ni Mysql kumqanisha lugha ni sqlNina Maswali mengi sana
Maana Hizi system Wengi sana wanazo ila Zina Bug Kibao..
Na Zinacollapse sana..
Unatumia Database Architecture zipi SQL au NSQL,
Who is Controlling the Data?, pia Humo namaanisha Data Encryption Ikoje? Maana Data za Wagonjwa ni Very sensitive sana..Kuonekana na Third part ni Hatari...
Je Inakuwa na backup??
Whats your Frameworks?
Kuhusu Debaging and Indexing and Query Optimization natakiwa nikulipe Tena au Iko covered na Ni kwa Muda gani..
Hii Idea Nzuri sana NitakutafutaDatabase ni Mysql kumqanisha lugha ni sql
Bado sijafikiri kutoa self-hosted hivyo nitaprovide feature to export data
Data zote muhimu zinazomuhusisha mtumiaji zitakuwa encrypted kama vile password, na taarifa nyingine za afya yake, hii inamaana unapoexport data lazima uwe na key
Hakuna third part yeyote itakayo husika
Kutakuwa na feature ya kuexport backup ambayo itakupa zip file lenye sql file (database) na data folder + json file for import (restore)
Backed no frameworks ila front end ni boostrap na query
Kama nilivyosema software ni mpya na bado ipo kwenye development hivyo watu wa kwanza itakuwa inatumika kamatesting
Mimi kama mimi nitakuwa natoa Optimization updates each month kufix bugs, Indexing issues and improvements haswa kwa database kubwa na query ili kupunguza time ya kufetch data kadri iwezekanavyo na pia kuhakikisha only required data are fetched
Of course kila mwaka lazima unilipe ilikupata updates za features na security
Hii inaweza kuwa tofauti kabisa na gharama za uendeeshaji wa sotware.
Nipo njiani hivyo nimenadika harakaharaka naomba radhi kwa makosa yeyote ya kiuandishi.
Karibu sanaHii Idea Nzuri sana Nitakutafuta