- Thread starter
- #21
Nitafute kwenye namba yangu .kwa sasa hiv nipo kikaz .tuwasiliane kiongoz
Nakubali
Nakubali
Mkuu shamba lako lipo wapi nije nilimeHata Mimi ninalo heka 10 nalitoa bure kwa mlimaji.
Mkuranga kijiji cha bupuMkuu shamba lako lipo wapi nije nilime
Naomba kuja PM naona kumefungwa.Mkuranga kijiji cha bupu
Unataka kulima au kununuaNaomba kuja PM naona kumefungwa.
Nataka kulima tu mkuuUnataka kulima au kununua
Upo pande zipiNataka kulima tu mkuu
Npo MorogoroUpo pan
Upo pande zipi
.upWanaohofia hoja ya mtoa mada pole yao. Tuache mazoea, kupewa shamba la kulima bure kwa kisarawe ni kawaida. Unaambiwa lima, ukichoka liache. Mimi binafsi nipo arround mazingira uliyotaja na nimekabidhiwa zaidi ya ekari tano napambana nazo mpaka muda huu mwaka wa tatu sasa. Nimeruhusiwa kupanda papai, migomba nk. ukiachilia mbali mazao ya muda mfupi. Kwa wasiojua, wenyeji wa wilaya ya kisarawe siyo wapenzi wa kilimo. Maeneo mengi wameuza kwa "maboss" hivyo kuna muda maboss wanawapa watu walime bure kuliko kufuga pori. Binafsi naweza kukucheki huko mbeleni kama hutapata mtu ili nilime mvua za next oktoba.
Hayo mawazo gani. Inamaana yeye kama ameamua kulima angeshindwa kusafisha ?Nataka mtu akuoimie akusafishie alfu baadae uje umnyanganye ili ulime likiwa limeondolewa visiki acha hzo Lima ,safisha vzr afu mpe mtu
Cha bure hknang huo Ni mtego
Bado lipo jose? Naomba mie nije nilime....Safi sn kiongoz na kupa Big up
.up
Huko mashamba bei zipoje??Wanaohofia hoja ya mtoa mada pole yao. Tuache mazoea, kupewa shamba la kulima bure kwa kisarawe ni kawaida. Unaambiwa lima, ukichoka liache. Mimi binafsi nipo arround mazingira uliyotaja na nimekabidhiwa zaidi ya ekari tano napambana nazo mpaka muda huu mwaka wa tatu sasa. Nimeruhusiwa kupanda papai, migomba nk. ukiachilia mbali mazao ya muda mfupi. Kwa wasiojua, wenyeji wa wilaya ya kisarawe siyo wapenzi wa kilimo. Maeneo mengi wameuza kwa "maboss" hivyo kuna muda maboss wanawapa watu walime bure kuliko kufuga pori. Binafsi naweza kukucheki huko mbeleni kama hutapata mtu ili nilime mvua za next oktoba.
Dunia imeharibika vya bureMbongo sio mtu wa kumsaidia siku Moja natoka Kwa bi mkubwa Mikocheni Kwa warioba Niko na gari.Basi Ile nakata Kona bana ya kuja Palm village Kuna kituo Cha Dala Dala,Nikaona sio poa kwenda mtupu wakati watu wapo kituoni wanahangaika usafiri,Nikapaki pale nikawaambia Anayeenda ilala aje apande wakaja kibao wanauliza bei gani nikawaambia bure tu nyie pandeni.Basi wote waliposikia bure wakaondoka sijuwi waliogopa ndevu.Sikuongea Tena niliondoka zangu.