NATO yasema China ni moto wa kuotea mbali!

Zambia imeshakuwa koloni la mchina na ni mfano bora zaidi unaoonesha uhalisia wa Sera za mchina Afrika. Mchina anapenda njia za mkato na sioni hili likibadilika zaidi ya porojo na vitendo sifuri.
Tatizo letu tunapenda sana kuonewa huruma,km unaona mkataba vipengele vinakubana achana nao sio unaingia mkataba ukiwa na akili zako timamu mwishowe unamlaumu mdau mwenza huo ni upunguwan
 
Back
Top Bottom