Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Bila shaka walilazimishwa lkn sio ile lazima ya kinomanoma ni lazima ya vivutio binafs kwa mfano unapewa ofa ya watoto watano watasomeshwa ktk vyuo levo ya dunia ya kwanza hapo bado muamala
Kwa akili yakochina ndio nchi inayotawala dunia kwa sasa, sio kijeshi
china ndio nchi yenye uchumi mkubwa kwa sasa duniani Why China Is the World's Largest Economy hata wamarekani wenyewe wanakiri Poll: Majority of Americans Believe China is Greatest Enemy of U.S.Kwa akili yako
Wachina hawa wanaokandamiza na kunyanyasa watu weusi? Tena wanatunyayasia ndani ya nchi zetu na hatuwafanyi kitu, kama chinese wangekua na chembe ya ubinaadamu ningeamini ukomnozi unayokea kwaoInawezekana ukombozi wa dunia ukatokea China.
Comment yako ina point kubwa! Hawa mabwana wakiweka tofauti zao pembeni watatunyonya hadi makamasiWako kwenye mpango wa kupitia upya strategy yao towards Afrika. Sasa wanataka uhusiano wa pande zote kunufaika.
Endelea kufatilia magazeti ya udakuchina ndio nchi yenye uchumi mkubwa kwa sasa duniani Why China Is the World's Largest Economy hata wamarekani wenyewe wanakiri Poll: Majority of Americans Believe China is Greatest Enemy of U.S.
note : hayo maneno sio yangu ni yao wenyewe
Hebu nijuze ni nchi gani ya kimagharib ambayo imejenga kiwanda kikubwa hapa bongo na kinazalisha bidhaa gani.Mchina ni mnyonyaji kuliko mzungu na pia ni wabaguzi wakubwa wa rangi. China haiwezi kuinufaisha Afrika hata siku moja.
Tujiulize kwa nini hawa China hawajengi viwanda vyovyote vya maana ktk bara hili ila wako radhi kuleta bidhaa zao feki kuuza barani Afrika, wanafahamu wakifanya hivyo wananchi wao watapigika zaidi kwa kukosa ajira. Urafiki iko pale wameiacha ife kibudu.
IMF nao wamekua wadaku??? IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent?Endelea kufatilia magazeti ya udaku
Mkuu usitumainie hayo.Inawezekana ukombozi wa dunia ukatokea China.
Kulikoni dunia kutawaliwa na China bora enzi za utumwa urudiInawezekana ukombozi wa dunia ukatokea China.
Kulikoni dunia kutawaliwa na China bora enzi za utumwa urudi
Mchina anakupiga tokana na ulofa wako na.tamaa zako.ila.mzungu anakutengenezea mazingira kabisa ya kumlamba miguu usipotaka anakununia anakuletea zengwe lingine......mchina ukiona dili lake halikufai unalikataa tu na wala.hakulazimishi kwamba ukigoma atakuletea zengwe lingineZambia imeshakuwa koloni la mchina na ni mfano bora zaidi unaoonesha uhalisia wa Sera za mchina Afrika. Mchina anapenda njia za mkato na sioni hili likibadilika zaidi ya porojo na vitendo sifuri.
Hapo sawa lkn Marekani bado ni bora mara 100 kwani wanakula hawakombi kila kitu lkn mchina atakomba hadi udongoHawataweza, lkn upinzani wao kwa magharibi, utaleta afueni kwetu, maana tutakuwa na magharibi haitajiona ndiyo kila kitu. Wanajua tuna alternative na option nyingine.
Kwan mnalazimishwa kunyonywa mkuu? Si utashi tu?Whaaat china hawa hawa wanaonyonya nchi za kiafrika kuliko hata wazungu mkuu. Achana kabisa na china mzee wale jamaa ni hatari wanakunyonya unanyonyeka kweli kweli.
Kuna muda kunakua na limit ya option mzee na ndo wanyonyaji wanatumia mwanya huo kukukandamiza.Kwan mnalazimishwa kunyonywa mkuu? Si utashi tu?