bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
- Thread starter
- #61
Sidhani Kama Kuna haja ya kipinga kinacho fanya Vita kuwa inevitable (kutoepukika) Ni conflicts of interest baina yetu wanadamu lakini pia tofauti ya mitazamo n.k vitu ambavyo haviepukiki.naiona nanimakubali point yako hasa kwa case yawanyama japo kwenye angle ya humanity upande wabinaadamu inagoma kuingia....
Mrusi kaingia Vita kutokana na kuwa na conflict of interest na mitazamo baina yake na UKRAINE/NATO/USA Mrusi hataki Ukraine aingie NATO Ukraine wanataka kuingia NATO nao wanataka Ukraine aingie ili kwao iwe rahisi ku deal nae simply.
N.b kumbuka pia humanity Ni part ya hao animals.