Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,669
- 2,859
hakuna wa kumpiga putin mkuuWanatafuta njia ya amani yakumaliza huu mzozo, putin akiendelea kushupaza shingo atapigwa mpaka ashangae
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna wa kumpiga putin mkuuWanatafuta njia ya amani yakumaliza huu mzozo, putin akiendelea kushupaza shingo atapigwa mpaka ashangae
Vile vile jiulize pia nchi ngapi zinaizidi uchumi Urusi lakini Ni nchi ngapi zinaizidi nguvu yake kijeshi.Ushamba unao wewe unaweza ukawa na kura ya Veto na ukashindwa kustawi, angalia nchi ngapi hazina kura ya Veto lakini kiuchumi zinaizidi Russia na hata kiushawishi? Yaani dogo unazani kura ya Veto ndiyo inasababisha wewe ushawishi Dunia?
Hiyo ni Historia tu ndipo nikakwambia kuwa na kura ya Veto bila kustawi kiuchumi na kiuchawishi duniani hakuisaidii Russia, China kaitumia vema na unaona namna anavyopambana na USA kiuchumi na kiushawishiNimekuuliza na ujibu swali. Kwanini Russe ipo na kura ya VETO UN security council!? Wewe umahororoja tu.
Kwani saiv anauza wapi? Gesi, Ngano, Alminium, Uranium?Acha kukalili, Russia hata akizalisha bidhaa atauza wapi? Kama alipoteza nchi za Kiafrika na Ulaya Mashariki kurahisi vile unazani anajipya, subiri siku Putin akitoweka uone kama watakuja na sera Kali vile😂😂😂nchi za kijamaa zinasumbuliwa na succession plan ya uongozi kumpata Putin mwingine inaweza ikawachukua hata miaka 50
Mtu anayekuzidi uchumi, anauwezo wa ushawishi mkubwa wewe unaweza ukawa na jeshi imara na ukaishia kuuza Teknolojia Ili upate msosiVile vile jiulize pia nchi ngapi zinaizidi uchumi Urusi lakini Ni nchi ngapi zinaizidi nguvu yake kijeshi.
Huyu jamaa anadhani Russia ni kama Malawi.Vile vile jiulize pia nchi ngapi zinaizidi uchumi Urusi lakini Ni nchi ngapi zinaizidi nguvu yake kijeshi.
Mzee nimekuuliza swali nataka ujibu. Kwanini Russia ni kati ya tano zenye kura ya VETO!?Hiyo ni Historia tu ndipo nikakwambia kuwa na kura ya Veto bila kustawi kiuchumi na kiuchawishi duniani hakuisaidii Russia, China kaitumia vema na unaona namna anavyopambana na USA kiuchumi na kiushawishi
Auze vyote China soko halitoshi we subiri utaona vikwazo vya kiuchumi vitakavyomleta kati, achana na mbinyo wa kiuchumi muulize baba Yako miaka ya 80 sukari, sabuni vilikuwa anasa nchi hii kutokana na mbinyo wa kiuchumi watu walitaabika sanaKwani saiv anauza wapi? Gesi, Ngano, Alminium, Uranium?
acha nae sio mzima kichwani utaletewa matusi ya kila rangiHiyo miaka 5000 ukuaji wake uliishia enzi za Soviety niambie Tangu enzi hizo Russia unamshawishi nani akae upande wake kimaslahi? Kama kapoteza majirani huko mbali ndio atapata support,? Dunia itakuwa ya Mchina, Russia alishapoteza grip
Baba Joseph unasinzia, ni vyema ukalala....Auze vyote China soko halitoshi we subiri utaona vikwazo vya kiuchumi vitakavyomleta kati, achana na mbinyo wa kiuchumi muulize baba Yako miaka ya 80 sukari, sabuni vilikuwa anasa nchi hii kutokana na mbinyo wa kiuchumi watu walitaabika sana
Kura ya Veto haiingiliani na uchumi.Hiyo ni Historia tu ndipo nikakwambia kuwa na kura ya Veto bila kustawi kiuchumi na kiuchawishi duniani hakuisaidii Russia, China kaitumia vema na unaona namna anavyopambana na USA kiuchumi na kiushawishi
Sawa Kuna siku utaurudia huu Uzi na kuona Yale niliyoandikaBaba Joseph unasinzia, ni vyema ukalala....
Unajiabisha mitandaoni saiv. Hoja zako hazina muunganiko.
Mzee hujui chochote kuhusu dunia. Hivi unajua ni akina nani wana control hii dunia!? Acha kutumia mihemko.Sawa Kuna siku utaurudia huu Uzi na kuona Yale niliyoandika
naiona nanimakubali point yako hasa kwa case yawanyama japo kwenye angle ya humanity upande wabinaadamu inagoma kuingia....Vita haipingiki ndg as long as binadamu wanaishi hapa duniani.hata wanyama mwituni wako hivyo it is a law of nature.
Basi waache waendelee kuchelewa wakifikiri Ukraine ataungua pekeake, zamuyao haiko mbali, Poland Lithunia,Estonia ,Romania, Bulgaria Latvia, Serbia nawengine wa karibu wote wata unguwa.Mkuu yaani unataka NATO apeleke jet na tanks kupambana na Urusi?
Busara ni vyema itumike.. vita vya NATO na Urusi italeta balaa kwenye uchumi wa Dunia
acha kucheza na warusi dogo hao waliomuwekea vikwazo ndio wananunu mafuta na ges kwa urusi hio hio urusi sio buzaDunia anabadilika Kwa Kasi sana Russia alipoteza kubadilika baada ya vita ya 2 ya Dunia akabaki na sera zake bila kuzifanyia mabadiliko haswa ya kiuchumi Ili washirika wake wafaidi na waendelee kuwa nae 😂😂😂 wewe Baki na historia Yako ya miaka 500 utakuja shangaa omba uzima