Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Acheni kuchanganya nambo, serikali za wenzetu zinaendeshwa kitaasisi, sio kama huku kwetu Raisi anamaamuzi ya peke ake na hakuna wa kungusa, No, so hata kama ni comedy but pale kuna vichwa vuko behind na wanajua wanachokifanya Ukrain, so tusubili muda utaongea.Comedy nyingi ila akili zitamkaa sawa
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app