National Debt Fell By Over Sh1tr in July - BoT

National Debt Fell By Over Sh1tr in July - BoT

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
76,363
Reaction score
108,041
National Debt Fell By Over Sh1tr in July - BoT
Tagged:
Tweet
Share
Google+


Dar es Salaam — The national external debt declined by $619.4 million (Sh1.3 trillion) in July in a month on month basis, the Bank of Tanzania (BoT) reported.

The BoT's Monthly Economic Review for August indicated that the significant decline was due to the weak US dollar .

"The decrease was largely on account of appreciation of the US dollar against other currencies in which the debt is denominated," the BoT noted. The central bank says the national debt, which comprises borrowing by both the public and private sectors, was $19.8 billion in July from $20.5 billion in June this year.

Year-on-year, the debt stock increased by $1 billion in July 2018 on account of new disbursements and accumulation of interest arrears.

"The central government external debt accounted for 76.5 per cent of the debt stock, lower than 77.2 per cent and 78.5 per cent at the end of the preceding month and July 2017, respectively," the BoT said.

In terms of debt flows, external debt disbursed in July 2018 amounted to $6.1 million, of which 4.0 per cent was received by the central government, the BoT said.


"Cumulative disbursement of external loans during the year ending July 2018 was $1.5 billion, of which, $1.2 billion was received by the central government and the balance by private sector," the BoT said. On the other side, the composition of external debt stock in terms of creditor category remained the same as in the previous month and corresponding month in 2017.

National debt fell by over Sh1tr in July: BoT
 
[pengine utuambie kwanza 1 trillion ni pesa kiasi gani ukitumia dola ndio tukuelewe vizuri...
 
[pengine utuambie kwanza 1 trillion ni pesa kiasi gani ukitumia dola ndio tukuelewe vizuri...

Ni ya tz, ukitaka dollar mpaka benk kuu ya marekani.

Au nyie kwenu mnatumia dollar??
 
Ni ya tz, ukitaka dollar mpaka benk kuu ya marekani.

Au nyie kwenu mnatumia dollar??
pumbaff dola ni currency ya dunia na cha muhimu ni "neutral currency"...mimi mkenya tsh inansaidia kivipi?🙄na ndio maana nkauliza dola na sio ksh au tsh maana hizo sio neutral currencies hapa...we vipi? ala!
 
45bn ni profit margin ya 2 companies in kenya... .
 
45bn kwel jamani...mbna pesa kidogo sana hyo..si ya kujisifia kamwe...kuna watu wanaeza kujitolea na kulipa kiasi hicho cha pesa
 
45bn kwel jamani...mbna pesa kidogo sana hyo..si ya kujisifia kamwe...kuna watu wanaeza kujitolea na kulipa kiasi hicho cha pesa

Ni pesa nyingi ukilinganisha na deni lililopo.

Kwani kenya inadaiwa hela ngapi??
 
45bn kwel jamani...mbna pesa kidogo sana hyo..si ya kujisifia kamwe...kuna watu wanaeza kujitolea na kulipa kiasi hicho cha pesa
Hamna uwezo hata wa kujenga meta moja ya reli, madeni yamewajaa hadi chooni, mnaanza kuzungumzia referendum kubadilisha katiba baada ya kuona hamna uwezo wa kulipia viongozi wa kisiasa, ninyi ni nchi ya laana.

Hiyo pesa tuliyopunguza deni ni zaidi ya kiasi mtakachpkusanya ktk 8% VAT ambayo mnagombana na kudai itaongeza gharama ya maisha ya wakenya nchi nzima, kama ni pesa kidogo, vipi mnalalamika itaongeza gharama za maisha za nchi nzima?, hiyo ni zaidi ya $500M.

Mlishindwa kupata $600M mkaamua kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, Thika highway mnayojisifia ni kama nusu ya fedha tuliyopunguza deni, zaidi ya kupiga domo, hamna lolote ninyi ngang'au.
 
45bn ni profit margin ya 2 companies in kenya... .
while we're at it, how much is this?


MATAIFA KUMI BORA AFRIKA YANAYODAIWA NA CHINA.

10. Congo DRC - Usd 3.4 Billion.

Taifa hili lilikuwa Taifa la kwanza kabisa kuingia Mikataba ya Mambo ya madini na Taifa la China.

09. GHANA - Usd 3.5 Billion.

Hali ya Ghana kiuchumi ni Mbaya kwa sasa kiasi kwamba imebidi wayakubali Masharti kadhaa ya IMF ili waweze kupewa Masaada wa pesa ili walipe deni la China.

08. NIGERIA - Usd 4.8 Billion

Kutakana na deni hili kuwakaba koo, Taifa hili kubwa la Afrika ya Magharibi sasa imebidi liikubali Shilingi ya China (Chinese Yen kutumika kama fedha ya kigeni katika Taifa lao - Foreign Currency)

07. CAMEROON - 5.5 Usd Billion

China imekubali kuwasamehe Cameroon sehemu ya Deni hili kwa masharti ambayo hayajawekwa hadharani.

06. ZAMBIA - 6.0 Usd Billion.

China imechukua Shirika la Umeme la Zambia kama Sehemu ya Malipo ya deni hili mara baada ya Zambia kushindwa kulipa...Republic of Zambia sasa unaweza kuiita "Repupuliki ofu Chambia"

05. SUDAN - 6.4 Usd Billion

Sudan kwa sasa wamepeleka Ombi maalumu huko China kuomba Msamaha wa Sehemu ya Deni,

04. CONGO BRAZAVILLE - 7.3 Usd Billion

Deni hili kwa sehemu kubwa Limesababishwa na Rushwa iuliyoshamiri nchini humo, fedha nyingi zimeliwa bila manufaa yoyote, Hali tete.

03. KENYA - 7.9 Usd Billion

Mabilioni haya mengi yalikopwa kwa ajili ya miradi ya miundo mbinu, lakini fedha nyingi zimeliwa na wajanja, Deni hili kubwa limechochewa hasa na Rushwa, Reli ya SGR kenya imejengwa kwa Gharama mara 4 zaidi ya Gharama za viwango vya kimataifa ..hata hivyo kenya imeongeza Ushuru wa Mafuta na bidhaa mbali mbali ili iweze kulipa deni hilo, na pia imeomba Msaada IMF na kuyakubali Masharti yao.

02. ETHIOPIA - 13.5 Usd Billion

Walikopa mapesa mengi kwa ajili ya maradi wa reli ya kutoka Ethiopia kwenda Djibouti, deni hili kubwa leo linawagharimu.

01. ANGOLA - 25 Usd Billion.

China wanaendelea kuchukua Mafuta kwa wingi huko Angola kama Sehemu ya malipo ya deni lao.
 
45bn kwel jamani...mbna pesa kidogo sana hyo..si ya kujisifia kamwe...kuna watu wanaeza kujitolea na kulipa kiasi hicho cha pesa
Haha mbona unaongea kama haupo makini?ujitolee kulipa $600M kwel?
 
Kshs 50 billion ndio inaletwa hapa kwa pupa na huyu limbukeni?
 
Back
Top Bottom