National Debt Fell By Over Sh1tr in July - BoT

National Debt Fell By Over Sh1tr in July - BoT

45bn kwel jamani...mbna pesa kidogo sana hyo..si ya kujisifia kamwe...kuna watu wanaeza kujitolea na kulipa kiasi hicho cha pesa
Kenya inawatu wasiozidi watano wenye pesa zaidi ya hiyo (600m $)! Mtu tajiri zaidi kenya networth yake ni less than 900m Usd. Dogo usikurupuke kuandika pumba kwakua una vi MB kwenye simu.
 
Hamna uwezo hata wa kujenga meta moja ya reli, madeni yamewajaa hadi chooni, mnaanza kuzungumzia referendum kubadilisha katiba baada ya kuona hamna uwezo wa kulipia viongozi wa kisiasa, ninyi ni nchi ya laana.

Hiyo pesa tuliyopunguza deni ni zaidi ya kiasi mtakachpkusanya ktk 8% VAT ambayo mnagombana na kudai itaongeza gharama ya maisha ya wakenya nchi nzima, kama ni pesa kidogo, vipi mnalalamika itaongeza gharama za maisha za nchi nzima?, hiyo ni zaidi ya $500M.

Mlishindwa kupata $600M mkaamua kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, Thika highway mnayojisifia ni kama nusu ya fedha tuliyopunguza deni, zaidi ya kupiga domo, hamna lolote ninyi ngang'au.
Eti hatuna uwezo wa kuwalipa hao viongozi...we mshamba nn...nsawa na kusema magufuli kumtuma waziri nje ili kubana matumizi naeza sema kwel serikali haina uwezo wa kumsimamia magu....

Na unajuwa hao viongozi ni mwaka wa ngapi huu hadi sasa na wanalipwa pamoja na marupurupu....bongo hamuezani na siasa za kenya...wanasiasa huku huzua jambo ndo ili wapate kiki kw wapiga kura...

Mwanzo wajuwa kenya imetumia shillingi ngapi kujenga barabara zake za ndani...wacha kujitoa ufahamu wewe..miradi mikubwa hufanywa na madeni ndio ijilipe wewe...sisi si watu wa kusamehewa madeni km nyinyi...ukibisha nakuletea ushahidi
 
Haha mbona unaongea kama haupo makini?ujitolee kulipa $600M kwel?
Mwanzo 45bn haifiki $600m...ina range $450-$500 hapo...
Anyway sikutaja mtu mmoja...nilisema kuna wanaeza toa kiasi hicho cha pesa..
 
Kenya inawatu wasiozidi watano wenye pesa zaidi ya hiyo (600m $)! Mtu tajiri zaidi kenya networth yake ni less than 900m Usd. Dogo usikurupuke kuandika pumba kwakua una vi MB kwenye simu.
Mmmm!!we hujui wa kenya...
 
National Debt Fell By Over Sh1tr in July - BoT
Tagged:
Tweet
Share
Google+

Dar es Salaam — The national external debt declined by $619.4 million (Sh1.3 trillion) in July in a month on month basis, the Bank of Tanzania (BoT) reported.

The BoT's Monthly Economic Review for August indicated that the significant decline was due to the weak US dollar .

"The decrease was largely on account of appreciation of the US dollar against other currencies in which the debt is denominated," the BoT noted. The central bank says the national debt, which comprises borrowing by both the public and private sectors, was $19.8 billion in July from $20.5 billion in June this year.

Year-on-year, the debt stock increased by $1 billion in July 2018 on account of new disbursements and accumulation of interest arrears.

"The central government external debt accounted for 76.5 per cent of the debt stock, lower than 77.2 per cent and 78.5 per cent at the end of the preceding month and July 2017, respectively," the BoT said.

In terms of debt flows, external debt disbursed in July 2018 amounted to $6.1 million, of which 4.0 per cent was received by the central government, the BoT said.

"Cumulative disbursement of external loans during the year ending July 2018 was $1.5 billion, of which, $1.2 billion was received by the central government and the balance by private sector," the BoT said. On the other side, the composition of external debt stock in terms of creditor category remained the same as in the previous month and corresponding month in 2017.

National debt fell by over Sh1tr in July: BoT
Even the UN knows its cooked Data
 
Mwanzo 45bn haifiki $600m...ina range $450-$500 hapo...
Anyway sikutaja mtu mmoja...nilisema kuna wanaeza toa kiasi hicho cha pesa..
Soma article yenyewe inasema ni zaidi ya $600M, hiyo 45bn umeitoa wapi?. Kuhusu referundum wanaoitaka ni opppsition kwa lengo la kupunguza gharama ya kuendesha serikali ili kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi, tofauti na Magufuli lengo lake ni kupata pesa za maendeleo.
 
Sasa ndo nakwambia...ksh 45bn haifiki $600m au unabisha
 
Back
Top Bottom