Nation Media Group Tanzania wapewe onyo kali na serikali!

msemakweli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,627
880
Hii ni baada ya serikali kupinga uongo uliochapishwa kwenye gazeti lao la the citizen.
Yaani bado hatujalisahau lile the east african tayari wameanza chokochoko zao tena.
Serikali ya Tanzania iwape hawa wakenya onyo kali sana la sivyo wafungashe virago vyao wasepe!
 
Izo gazeti za sijui Citizen au hata the East African hakuna anayezisoma huku Kenya.Afu mnasema hao wakenya sijui izo gazeti za wakenya wakati zinaandikiwa huko na nyie watz,zinachapishwa huko huko tz,Nation Media Group imewaajiri watz kwenye kitengo cha huko tz.Jipangeni nyie wenyewe msiingize Kenya na wakenya kwenye hizo siasa zenu za peni mbili!
 
Ninyi wakenya si mnanunua sana magazeti ya uwazi, kiu na ijumaa.
 
Hizo ulizotaja naziskia kwa mara ya kwanza kutoka kwako.Kenya yanasomwa tu Daily Nation,The Standard,Taifa leo,The Star,au Business Daily,izo zingine labda za kufungia nyama tu.
Angalia mlivyo wapuuzi, yaani mnaagiza magazeti ili mfungie nyama! Hahaha.
 
wewe gnasimbe

We bonge la muongo, ni Kenya ipi ambako Hakuna gazeti la the east African?

Hapo Nairobi kila wiki liko sokoni kwenye mabanda ya Magazeti kila kona... Westland, eastleigh, river road, latema road, muindi mbingu, ngara road, kenyatta Avenue, na kila supermarket iwe uchumi, nakhumatt, mpaka huko village market ya limuru road nk..... Sasa wewe ulitaka kutuzuga wa TZ kwa kudhani hatujui hilo.

Wakati ndio gazeti mnalolitumia kutuchafulia sifa zetu ikiwamo mambo ya utalii nk, kwa kutuzushia mabomu Tanzania, Mara kipindupindu Tanzania. Kupitia yule mwandishi wenu Onyango obho.

Wacheni izo maneno zenu wakeii :rolleyes:
 
Duuu!Mnafunga nyama kwenye magazeti!Is it health kweli?
We vipi jombaa?Gazeti haiguzani na nyama ulonunua,nyama inatiwa kwenye mfuko wa 'nylon' kwanza afu inafungwa kwenye gazeti kisha inatiwa kwenye mfuko mwingine wa nylon.Siunajua mifuko yenyewe ya nylon ni ile 'see-through',yaani ni ile inayoonesha kilicho ndani.Ukifungiwa na gazeti inakuwa rahisi kama utatembea nayo mkononi hadharani wewe ukaweza kuweka siri yako wambea wasijue ulichonunua.Hii sanasana inawasaidia wale wanaopenda kula utumbo au nyama zingine za ajabu ajabu kama ulimi wa ng'ombe na kadhalika.Hahaha!
 
Nakurekebisha, Charles Onyango-Obbo sio Mkenya, kafanye utafiti upya.

Hehehe!! nimependa jinsi unavyoijua nchi yangu, haswa Nairobi. Kidogo mtu kama wewe ni wa kusklizwa na sio wale sharobaro wa mitaa ya Dar ambao hawajatoka nje ya Mbagalla halafu wapo huku wanabisha kila kitu kuhusu Kenya.
 
hawawezi kufungia sababu kilichoandikwa ni ukweli. wadanganye yawakute ya mwanahalisi
 
Angalia mlivyo wapuuzi, yaani mnaagiza magazeti ili mfungie nyama! Hahaha.
Sasa kama gazeti ni ya kipuuzi ifanyiwe nini jombaa?Si ifanyiwe kazi za kipuuzi tu.Kama kufungiwa nyama,samaki au hata njugu zilizo karangwa,hiyo ya nyama ilikuwa kauli ya Uhuru Kenyatta mwenyewe alipokerwa na habari za kijinga kumhusu kwenye gazeti flani ivi.Aliwashauri wananchi wanaponunua gazeti hilo wawe wanapitia wakitazama picha tu kisha waitumie kwenye kazi inayofaa gazeti hilo kama ya kufungia nyama.We siunajua waandishi kawaida watakuwa wapuuzi kwa kupenda sifa za kijinga na habari zisizokuwa na mwelekeo?Nimemjibu mwenzako hapo juu,ukisoma utaelewa kazi yenyewe inavofanywa.
 
commonmwananchi ndo huyo mkenya mwingine MK254,kama unaniona muongo muulize yeye gazeti la The East African linapatikana kwenye maduka gani Kenya na linasomwa na kina nani Kenya.Hatulitambui sie.
 
Mnaoenda vigazeti vya udaku tu...critics hamziwezi kwani zina ukweli...mshazoea kudanganya umma kwa propaganda...hivo magazeti makini hamyataki
 
Shida yenu nyie wakenya wajinga sana mnadhani watanzania wanapenda ujinga mliozoea huko kwenu kenya?
 
Unashida wewe!Mtanzania mwenzako ananena yake afu unamwita mkenya kisa tu hukubaliani naye?Wewe inaonekana mchepuko au hata mke wako akikunyima siku moja utaanza kutafuta wakenya hadi mvunguni asee!
 
Hii ni baada ya serikali kupinga uongo uliochapishwa kwenye gazeti lao la the citizen.
Yaani bado hatujalisahau lile the east african tayari wameanza chokochoko zao tena.
Serikali ya Tanzania iwape hawa wakenya onyo kali sana la sivyo wafungashe virago vyao wasepe!

Mkuu Msemakweli, with due respect tunaomba ungetuwekea picha ya cartoon yenyewe or utuhabarishe wali chora kuhusu nini at least niweze/tuweze kujua zaidi habari yenyewe.....naona watu wanachangia gizani!!
 
We vipi jombaa?Gazeti haiguzani na nyama ulonunua,nyama inatiwa kwenye mfuko wa 'nylon' kwanza afu inafungwa kwenye gazeti kisha inatiwa kwenye mfuko mwingine wa nylon.Siunajua mifuko yenyewe ya nylon ni ile 'see-through',yaani ni ile inayoonesha kilicho ndani.Ukifungiwa na gazeti inakuwa rahisi kama utatembea nayo mkononi hadharani wewe ukaweza kuweka siri yako wambea wasijue ulichonunua.Hii sanasana inawasaidia wale wanaopenda kula utumbo au nyama zingine za ajabu ajabu kama ulimi wa ng'ombe na kadhalika.Hahaha!
utumbo na ndizi unshuka
 
Back
Top Bottom