Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,078
Mjukuu wangu nakutakia maisha marefu
Hongera sana mdogo wangu... Mwenyezi Mungu awe nawe unapoanza mwaka mpya!!!
Leo ni tar 1? Jaman mbona mnaharakisha mambo ungesema kesho
Nice boy !! happy birthday..... take care of yourself and watunze wazazi wako. Good luck always be close to Mwenyeezi Mungu.
hongera sana
Hongerah sana kijana! Nimeipenda hii: ''namshukuru baba yangu mzazi kwa kutambua umuhimu wa malezi kwa mtoto na kutambua umuhimu wa elimu.Kanisomesha kwa hali na mali na kuvumilia usumbufu wa hapa na pale uliojitokeza,mpaka sasa nina kazi yangu,ninaishi vizuri na nina afya njema''.
Heri ya siku ya kuzaliwa...na ya mwaka mpya pia.....Mungu aendelee kukujalia upole km lilivyo jina lako na aiondoe hiyo sehemu iliyo cruel!
Mjukuu wangu nakutakia maisha marefu
Kumbe we mkubwa kuliko jamaa!! aisee