Natibu bure kipanda uso au hijabu

mattargsm

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
391
150
Kipanda uso nimaradhi ya maumivu ya kichwa dalili
Nikuumwa na kichwa upande mmoja kichwa kuuma mbele yaani usoni kuuma meno yote kusikia harufu mbaya puani
Sababu zake nyama ya ng'ombe manukato mboga ya kisambu wakati mwengine maji vinywaji baridi vya changia
Mafanikio watu wengi Sana wamepona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom