natesekea mapenzi

Kuna mtu kakuuliza hapo mwanzo una mpango gani nae coz km miaka 3 unamtumia tu hakuna dalili ya uchumba wala ndoa,au unayaongelea tu hayana vitendo unatarajia nn!kuwaacha marafiki zao co kigezo,hebu ongea naye na hiyo mipango yenu itekeleze kwa vitendo!miaka 3 ni mingi sn kwa mtu kubadilika bila sababu,tafuta sababu ya tatizo ndio utafute solution hakuna anayependa kumwacha mpnz wake aliyedum naye na kuvumiliana kwa mda mrefu mpaka kuzoeana!
 
  • Thanks
Reactions: Kbd

Miaka 3 ni mingi sana kukaa na mtu usiye elewa msimamo wake. Mi nadhani ukimpa matumaini kwa vitendo huyo dada atatulia.
 
Mkuu mbona taa nyekundu ishawaka tayari hapo kukujulisha kuwa hutakiwi kwenda mbele
Yaani yuko tayari akiwa na wewe aonekane yuko single ili jamaa yake kule asijue kuwa ana mtu
na hapo ujue kashamwambia jamaa yake kuwa yule tushaachana si unaona mpaka kwenye profile yake kaandika single

Mkuu akili kichwani mwako angalia mbele na maisha yake
 
uzuri anajua malengo yangu kwake maana nimekuwa muwazi sana kwake,nimeachana na rafiki zangu wote wa zamani kwa ajili yake

Stupid! Ebo! Yaani mwanamke akutese namna hiyo na hata kufikia kuachana na marafiki zako wote wewe bado unang'ang'ania tu? Hivi kama ktk jambo dogo namna hiyo unashindwa kuchukua maamuzi magumu, ukipewa hata Kata utaweza kuongoza kweli? Kijana kwa kifupi hapo unapoteza muda tu, better a wound today than death tomorrow! Karagabaooo!!!
 
usipoteze muda ogo. sahau vyote ulivyoinvest kisha jipange sawasawa. usisubir akupige pichi mwache soon tena mwambie "sikupendi tena" litamke kama jinsi lilivyo wala usione huruma. kisha kaa pembeni tulia njia ipo utatoka tu. Tena mshukuru sana mungu manake kakuonyesha kabla hujamweka ndani kama mke.
 
Achana naye huyo,ukimvumilia saa hizi hataukimuoa ataendeleza akijua we ni mvumilivu wa uchafu wake tu kwakuwa unampenda sana na huna la kufanya zaidi ya kuendelea kuvumilia.

Pole sana kaka,itakuuma lakini utayasahau machungu yote ukipata akupendaye.
 
Mkuu raha ni kupendwa sio kupenda, kupenda ni karaha babu kubwa. Niliwahi kupenda nikateswa, nikapata fundisho, kwa sasa nipo katika mazingira ya kupendwa nina raha sana kwa sababu siteseki na mtu yeyote.

Jipange kupendwa na sio kupenda.
 
Miaka 3 ni mingi sana kukaa na mtu usiye elewa msimamo wake. Mi nadhani ukimpa matumaini kwa vitendo huyo dada atatulia.

Ni ka kunguru hakawezi kufugika.
Unajua huyo wake wa zamani waliachana kwa sababu gani?.
 
Nadhani ukipigwa chini kazini ndo mapenzi yatanoga.Endelea kumwaza na kuboronga ofisini kama hujamfuata kanumba very soon
 
umeachwa kwa sababu huoneshi nia ya kumuuoa, miaka mitatu mingi sana kukaa na mtu huelewi future inakuwaje

ukianza relation nyingine uwe unakumbushia malengo ya mahusiano yenu kila mara
 
Mkubwa mtalaka hatongozwi wala kiporo hakipikwi huwa kinapashwa joto kidogo tu kinaliwa SHTUKA CHUKUA TIME
 
Back
Top Bottom