Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 439
- 664
Android yake ni ndogo sana Mkuu badili simu kaka
Snapchat kwa ajili ya AI kujibia assignmentUnatumia hadi snapchat? Infinix na magemu ni sawa na na maji na mafuta. Matangazo yao yote ni bure kabisa, ni hela tu ila infinix ni ndugu wa Tecno kwa kila kitu!
Oya Fanya format factory hiyo simuView attachment 2931234
Iyo ndogo mkuu?
Kama ni mpenzi wa infinix nunua note seriesView attachment 2931132
Mimi ni mpenzi wa magemu hasa Yale ya Ppsspp sasa hii simu ni Infinix hot 30 play Niki download game kupaste data kwenye Zarchiver inagoma inaandika kama hivo pichani nimejaribu kuangalia YouTube nimetoka holaaa, Mwenye kujua kurekebisha ilo tatizo π
Helio. G37 ni jauView attachment 2931234
Iyo ndogo mkuu?