Usiwe na shaka mkuu,
Ilikuwa ni mazungumzo baada ya habari. Unakikumbuka hiki kipindi?
nipe cv yako. fsble2000@gmail.comni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz
We nawe.......... nlifikiri utasema akamate Asprin:becky::becky:Mateso bila chuki. Pole mwaya.
Ukizidiwa kamata panadoo
Yaan ukitaka kuona ni namna gani Simba huwa anawinda Swala, basi pitia kwenye threads kama hizi...
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz
Nipm mimi nikupe true love mdada, mi pia jana nilikuwa peke yangu. Inaniuma sana kuona wenzangu wamepiga red mi nimevalia jezi ya yanga
We mgeni humu ...humjui mzee wa kugegeda? Kama unataka kujaribu m-hook up na dada yako lol!
Wewe hapana.......
Hujui hilo??
Babu DC!!
Whaaat?????
Ngoja nirudi kwa Sangoma, mbona lile limbwata alinihakikishia ndio lenyewe?
Halafu nina hamu ya limbwata kweli....
Please, fanya haraka ili nifurahie utamu wa limbwata, hata kama ni nyama ya kuficha ikulu..lol!!
Beware....fermentation in that hot funnel may cause serious infections by incurable bugs!!
Babu DC!!
Spelling error is not a big deal, Its all about marriage. There is no language which is recognised when these two organs meet such like swahili , english or any. Being in JF is a very developed and sustainable progress!!!Big up Pquite for "breaking the ice".
seliosry!!?
Dada yangu, sio lazima kutumia lugha za kigeni!!
this is very very interesting! nuwa nahisi ni utani lakini kumbe kuna kaukweli! haya wakaka/wababa kazi kwenu! ol the best mdada!