nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
nimetokea kumpenda mkaka
mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya
kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni
kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo
nifanyeje?
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
Acha kupenda mahansam buoy wa kuuzia nao sura..hasa hasa kama wewe ni wa kawaida kujilingnisha na yeye..utaakaaaa uumie tu tafuta wa level zako uende nae sawa mambo yaishe..after all kwan umeambiwa na mganga ukiwa na huyo jamaa utakua tajiri ka oprah winfrey..over..ni ushauri tu huu...adios..!!nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
Endelea kumsumbua mpe na papuch,,akishakumega ndo utajuwa mapenzi yako na rangi gani