Katungunya
Member
- Mar 19, 2013
- 35
- 33
Mko wapi hamuonekani, mtaani tunawaona akina mzabzab wa gegedaji tu ndo wamejaa, real men are hard to find and traceadui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Vijana tuko wengi mjini na kazi zetu ila hatuonekani, loh!
bibie hamisa jipange wee yako baridi tu huipati joto ng'ooooo hao ndo wanaume ukiwaendekeza miaka yote mpaka unakuwa bibi we umekwa kinyumba na mume wa mtu
hakuna kitu kizuri kama kuitwa mke wa fulan (mrs)
Kama ni waislam uolewe mke wa pili.....
Pole sana kwa kuingia kwenye maji ambayo hujayajui kina chake cha baadaye.Mapenzi hayana siri, ipo siku mtajisahau mkewe atajua.natamani huyo mke atoke nje ya ndoa ili awaletee kaugonjwa kasiko na tiba, hapo ndio utajua kama uache au uendelee na kamchezo hako.Huyo jamaa anakuzibia usiolewe, na umri unaenda hivyo, endelea kuponda raha, kufa kwaja.
Nafikiri unabidi ushindane na nafsi yako, na ukipata mpenzi wako mwenyewe utakuwa na amani na utamsahau huyu jamaa.kwanza mapenzi haya huna uhuru, kila wakati unahofu ya kukutwa.kwanini ujitese na wanaume hawajaisha duniani?Bado unamuda wa kuamua kabla mambo hayakuendea vibaya.
Kama ni waislam uolewe mke wa pili.....
Siyo lazima awe muislam. Kwani wakristo wangapi wana mke zaidi ya mmoja? Kama vipi nyie halalisheni tu, mkafunge ndoa ya bomani. Sioni ubaya katika hilo. Hii habari ya mke mmoja ni sheria ya kanisa tu, haina madhara yoyote kiimani. Kwa uelewa wangu wa biblia, ni askofu tu ndiyo amezuiwa kuoa mke zaidi ya mmoja.
jamani huyo dada musimlaumu yeye hana kosa kosa liko kwa mume inakuaje leo mwanamme una mke na mtoto uende kutafuta hawara uyo dada ilo jambo lina muuma ila huyo mwaume ni shetani no 1 na kushauri dada uyo jamaa achana nae atakupotezea mda wako bure hata mwisho atakupa mimba utaenda kutua mpaka mwisho utachoka jijali dada anguwe mwache mwenzio kapenda kuwa uhawara kugegedwa mchana tu usiku mpaka mume asingizie safari tena na mwenzie anacheo cha mrs yeye hawara a.k.a kimada, nyumba ndogo, kipozeo na kadhalika na usomi wake wote huo kipindi cha baridi anapopata shida wakati mwenzie kakumbatia hata baridi haijui
njoo kwangu mimi mwenyewe single and searching check avatar mwanamke wa kitz haswa