Nategemea wazo lako muhimu

Nategemea wazo lako muhimu

Sure the Boy

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
15
Reaction score
3
Jaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo Likizo dar sina cha kufanya nipo tu, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, au hata experience.. Wakati huu wa Likizo.
 
Unaandika barua ya maombi ya ajira kwa staili hiyo, hakika ajira utazisikia kwa wenzako!
 
mtaani graduates wapo wa kutosha maliza kwanza na ww ukae follen
 
Jaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo rikizo dar sina cha kufanya nipo tu nyumban, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, na experience.. Wakati huu wa rikizo.
RIKIZO NI NINI MKUU
 
Jaman wakubwa mimi kijana, nasoma Bsc. Agronomy pale SUA , kwa sasa nipo Likizo dar sina cha kufanya nipo tu, naomben ushaur maana nataman nipate chochote cha kuwa angalau kinanipatia hata hela ndogo ndogo ya matumiz, au hata experience.. Wakati huu wa Likizo.
Aseee watu mbona mpo makini na neno tu 1 lililokosewa wakat yapo maneno zaid ya 50 amabayo yapo sahh, ahahah ama kweli kila kitu kna changamoto...
Ila mpaka hapo nimeshajfunza kitu
 
Kuna mtandao wa https://ajiras.com unaweza kukusaidia. Ni freelancing website, unauza ujuzi wako mfano unaweza toa ushauri (consultation services) ya hicho ulicho somea.
 
Nikupe kazi ww for a part time wakat wapo vijana wameshamaliza chuo and they can work as a cheap labourers for only 150000-20000 per month

Maliza shule kwanza mzee baba
 
Back
Top Bottom