goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,343
Hizi bati migongo haijakamatana sawsaw. Misumari Bado ipo?Hio hapo
Fundi aliyepaua hapo amekosea, ilitakiwa upande dume wa bati uwe chini, upande jike uwe juu ambapo kama angefanya hivi hiyo mianya isingekuwa inaonekana lakini pia katika upauaji direction ya kutoka kushoto kwenda kulia au kulia kwenda kushoto inategemea na orientation ya bati la kwanza lilivyowekwa katika upande husikaHio hapo
Una uhakika? Nikupe! Ila gharama zake mkasiMwanza hamna mainjinia Wala wachora ramani,wengi matapeli,yakishachukua hela imeishaaa hiyo😂😂
Suluhu yake pasipo kun'goa ni nini mkuu ili zikae sawaFundi aliyepaua hapo amekosea, ilitakiwa upande dume wa bati uwe chini, upande jike uwe juu ambapo kama angefanya hivi hiyo mianya isingekuwa inaonekana lakini pia katika upauaji direction ya kutoka kushoto kwenda kulia au kulia kwenda kushoto inategemea na orientation ya bati la kwanza lilivyowekwa katika upande husika
Ulitaka kushauri nini kuhusu uwepo wa misumaliHizi bati migongo haijakamatana sawsaw. Misumari Bado ipo?
Mkuu mbona kimyaUlitaka kushauri nini kuhusu uwepo wa misumali
Hongera kwa kuwa na sehemu ya kupumzisha akiliHio hapo
Shukrani mkuuHongera kwa kuwa na sehemu ya kupumzisha akili