Natarajia kupata mtoto wa kiume

Natarajia kupata mtoto wa kiume

Kiukweli nilijiandaa kichwan na majina mengi ya kike, sio kwamba sipendi wa kiume (HAPANA) ila majina mengi niliyonayo kichwani ni ya kike
Naombeni wadau majina yenye maana nzuri ya kiume,sitaki mwanangu ajutie jina nitakalompa
Dini:mkristo
Laiti ungejua umhim wa jina usingeomba humu ushauri,instead ungemuomba Mungu huku ukishirikiana na huyo unaezaa nae!

Jina lina mana kubwa sana na linabeba hatma ya maisha ya mtu(destiny) ,linatambulisha nk

I wish ungepata somo la jina
 
usimpe jina la A, W,Z,Y kwenye mtihani atakaa na msimamizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji111][emoji111]
 
Isack, Isaiah, Ivan, Au mpe suffix ya Jr.
 
Mpe jina halisi la Kiafrika, ya kizungu achana nayo kwani hujui asili yake. Bahati mbaya kwa kuwa wewe ni mkristu umeshikwa kisawasawa huwezi kuepuka majina ya kizungu. Kuliko nichukue majina ya kizungu, ni bora mimwite Kibobori, Chauye, Imotio, Uvereshi, Umbashwe, Mbora, Ihenshe nk
 
Mwite jina langu Raymond..
Au Mwitee Majina haya ya malaika wenye Vyeo vikubwa Mbinguni..

Michael/Mike/Mikael,
Gabriel
Raphael
Kiukweli nilijiandaa kichwan na majina mengi ya kike, sio kwamba sipendi wa kiume (HAPANA) ila majina mengi niliyonayo kichwani ni ya kike
Naombeni wadau majina yenye maana nzuri ya kiume,sitaki mwanangu ajutie jina nitakalompa
Dini:mkristo
 
Ww mbona waitwa Joseph..

Back
Top Bottom