OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
haifuti lazima ujue nafasi ya kila mmoja ukikosea hapo tu umeharibuu ndugu umeharibuuu!! Yehuwii!! Inabidi sasa wanaume muanze kufanyiwa kitchen party kwa mtindo huu!
Kamenikera haka katoto mpaka mwisho wa kukereka!!!!