BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Karibu kwenye ulimwengu wa malavidavi.
Nikushukuru kwa busara zako, serikali mpya bila ya my mom, aisee, ngumu kumeza inabidi wife ampe kidogo nafasi na bi mkubwa maana she played a very big role kwenye makuzi yangu..
sasa unaoa vya nini kama bado mtoto wa mama?kwani huyo mkeo mtarajiwa kakuzwa na manyani? Mamako muda wake ushapta kilichobaki ni salamu tu na misaada mingne midogomidgo inapohtajika siyo eti bajeti ya chakula ndani unamuulza mamako,weeee itakula kwako!!! Kiujumla wanawake hatupendi kuingiliwa ktk ndoa zetu!Nikushukuru kwa busara zako, serikali mpya bila ya my mom, aisee, ngumu kumeza inabidi wife ampe kidogo nafasi na bi mkubwa maana she played a very big role kwenye makuzi yangu..
sasa unaoa vya nini kama bado mtoto wa mama? Kama unataka miez 6 tu ya hiyo ndoa RUHUSU hilo!!!
kwani ndoa inafuta uwepo wa wazazi??sasa unaoa vya nini kama bado mtoto wa mama? Kama unataka miez 6 tu ya hiyo ndoa RUHUSU hilo!!!
Mtoto wa mama.
Unaoa au unaolewa wewe???!!!!
Kuharibiana siku asubuhi na mapema yote hii!!!!!
Mtoto wa kiume unataka kuoa na hujui la kufanya in the due night na siku inayofuata!!!!!!
Cc Ennie,Kibibi Jongo,Christine Ibrahim,mimi49,Kongosho
kwani ndoa inafuta uwepo wa wazazi??
mkuu makao makuu ya hii kitu ni wapi, na membership subscription inakuaje, unalipia kama star times au kwa tigo pesa, nahitaji maelekezo zaidi mkuuHata mi nilitaka kujua mambo ya kuzingatia kabla ya ndoa...
Jamaa mmoja akasema eti nijiandae kujiunga na chama kubwa linaitwa CWU... yaani Chama cha Walala Uchi... haha!
malengo yangu ilikua kupata experience zenu wadau ili nifanye kilichobora, i expected mngeniambia do this don't do that, inasaidia na wengine pia..
nitawezaje kubalance hawa watu wawili muhimu kwangu ili nisije zua mtafaruku maana wote nawahitaji
Mkuu mpende mama, mjali sana ila abaki kuwa mama . Ila nyumbani kwako wewe na mkeo ndio mama. Well ukihitaji ushauri wake, then ukaenda nao nyumbani na ukathubutu kusema..'mama kasema'..98% ya kuwa mume utakuwa umeipoteza. Wake hawapendi kuona waume wao wanashikiwa maamuzi.
Hata hivyo kwa jambo lolote mshirikishane, na kama itahitajika busara za mama mridhie wote. Vinginevyo pata picha yeye aje na sera za mama yake, na wewe uje na za mama yako..patakalika hapo?
nitawezaje kubalance hawa watu wawili muhimu kwangu ili nisije zua mtafaruku maana wote nawahitaji
Yani kwa mtu kama huyo ni bora uzae watoto wote wa kike kuliko mvulana kama huyo!!!!!!
kwani ndoa inafuta uwepo wa wazazi??
Inaongeza uwepo wa wazazi wa mumeo mtarajiwa
busara nyingi m.e.m.a, and so how is the experience in the first night of marriage after all the invitees have gone and you are all alone with your wife/hubby..