Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro

KAJOBO

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
408
Reaction score
351
heshima kwenu wanajf,,
Natarajia kuhamia mkoa wa Morogoro hivi karibuni,, Sababu iliyonifanya kuuchagua mkoa huu ni kwamba una fursa nyingi za kilimo,, hivyo kwa wenyeji au mlio na uzoefu na mkoa huu naombeni mnipe ni maeneo yapi yanafaa kwa kilimo cha Mahindi na Mpunga,,
nawasilisha.
 
Karibu Ifakara mkuu,huku kama kweli unakuja kwa nia ya kilimo patakufaa sana ni mtaji wako tu
 
Ongera kwa kuona fursa mkuu nenda kapambane maisha popote
 
Mm nipo town
 
Dada! Tupe fursa tuje lima nini

Huku hawapitishagi mifugo mashambani;


Mifugo mzee baba ipp KILOSAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..nilitelekeza eka za tikiti kisa ngombe wa mbunge m1πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..kule wenye mang'ombe ndo wenye sauti...sina hamu na msowela jamani..!
 
Achana na kilimo mkuu (hii naongea nikiwa serious kbs)cha kufanya ww nunua mazao tu!kila laheri
Kama umeniona ujue nipo mbarali sasa hivi uku mbeya nimekuja langua.

Kilimo kili kukufanya nini mmayo: nipe ka experience kidogo. Serious mwaka huu nilikuwa nimejiandaa nunua mashamba pori makubwa mbwewe tanga kwa ajili ya kuwekeza kweye kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…