Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,435
- 166,892
hongera sana! weka namba ya simu (pesa mtandao)tunaweza kukupatia chochote kitu!Ndugu zanguni wana JF, napenda niwashirikishe furaha yangu kuwa mwezi wa nne nakaribia kufunga ndoa.
Nakaribisha michango ya hali na mali.
Asanteni
Wewe ni he or she?Ndugu zanguni wana JF, napenda niwashirikishe furaha yangu kuwa mwezi wa nne nakaribia kufunga ndoa.
Nakaribisha michango ya hali na mali.
Asanteni
hongera sana , ila walioko ndani wanatamani kutoka na walioko nje wanataman kuiingia kazi kwako
hongera sana , ila walioko ndani wanatamani kutoka na walioko nje wanataman kuiingia kazi kwako