Natapeliwa mchana kweupe niharakieni wakuu

Natapeliwa mchana kweupe niharakieni wakuu

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
416
Reaction score
409
Kuna mtu amejitambulisha yeye ni mwalimu yupo shule X Dar anasema anataka kubadili kitengo. Kwa hiyo niende tukakabidhiane ofisi,

Lakini nimeanza kushtuka aliponiambia anataka ela ya soda kiasi cha laki 1 ili niende akanireplace nafasi.

Ni kamwambia Naweza kuja kwanza nipate kazi ndipo nikupe pesa akasema niitume hiyo pesa kisha ni pande gari niende adi ubungo nitapokelewa na mwalimu wa taaluma wa shule hiyo. Kuhusu nyumba za walimu zipo

Kanionganisha na mwalimu wa taaluma amesema kua atanipokea ubungo.
Wakuu naombeni tuungane kuchambua Hili jambo kabla sijalizwa laki 1 yangu
 
Mkuu, usifanye kosa la kumtumia fedha mtu usiyemfahamu.
 
Usifanye chochote kinachohusiana na pesa bila ku-cross check na taarifa za msingi zinazotakiwa...ila hiyo Kama iko wazi kabisa unataka kupigwa...kimbia,unavyozidi kujadili ndo u atengeneza mazingira ya kudakwa
 
Mtumie tu mkuu Hawezi kukutapeli, piga picha noti za laki moja kisha mtumie WhatsApp atafurahi sana
 
Usifanye chochote kinachohusiana na pesa bila ku-cross check na taarifa za msingi zinazotakiwa...ila hiyo Kama iko wazi kabisa unataka kupigwa...kimbia,unavyozidi kujadili ndo u atengeneza mazingira ya kudakwa
Na ameniambia nitume na cv kabisa
 
Mkuu mbona hili swala ni jepesi sana kujadiliwa hapa! Au unataka kusema nini zaidi?

Labda ungesema ni wizi mpya watu tuwe makini lakini sio kujadili!
 
Mkuu mbona hili swala ni jepesi sana kujadiliwa hapa! Au unataka kusema nini zaidi?

Labda ungesema ni wizi mpya watu tuwe makini lakini sio kujadili!
Ni jepes mkuu kweli lakini linapaswa kuchunguzwa kidogo
 
Wakati wengine tunataka kukimbia mjini turudi vijijini eti wengine mnataka kuna mjini.
 
Mkuu mbona hili swala ni jepesi sana kujadiliwa hapa! Au unataka kusema nini zaidi?

Labda ungesema ni wizi mpya watu tuwe makini lakini sio kujadili!
Ukiona hivyo ujue jamaa ameshatuma hiyo laki, hapa anatuzuga huku akimezea maumivu 😂😂
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom