Baada ya kutoka Denmark mwaka huu mwezi wa nne,nilipendezwa sana na chama cha CDM,ila kwa sasa,HAPANA
Hapana,mi si mshabiki wa Zitto wala Kitila wa Mgela
Hongera kwa kujitambua, dhambi zako zimesamehewa
Mwingineeeee!
usichokijua ni sawa na usiku wa giza.
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Hongera kwa kujitambua, dhambi zako zimesamehewa
Mwingineeeee!
kamwe hawawezi mkuu,mpaka leo magamba ya akina Lowasa na wenzake yameshindwa kuvulika.Tatizo mmelelewa na CCM ambayo haiwezi kuwajibisha viongozi wake wanapo kosea...Nia ni kujenga Chama siyo kubomoa ..Kama hilo limekuudhi safari njema...Hatuwezi kuwa na Chama kinacho zungumza "majina" ya watu...CDM imethubutu ..CCM waige kama wanaweza..
magamba mjue cdm si viongozi walioko hapo juu. Cdm ni nguvu ya umma, umma uliochoka mbaya na manyayaso, wizi uliokubuu, uongo wa shetani, ufisadi ....dhidi ya wananchi. Cdm ni mwamvuli wetu tu ktk kufanya mapinduzi ya kweli and will do it.
Choka mbaya ya watanzania haiangalii nani msomi hapo cdm, hao wasomi wakishindwa kutusogeza mbele tutaweka jw mmoja tu na nchi isonge mbele. Hatuwezi kuona kabineti ya nape na kinana inachukua nchi. Huo ndo ukweli.