Jalood
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 748
- 125
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Tunakutakia kila la heri maana ya Kaisari tuwachiwe wenyewe Kaisari