ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni mrs. Mwanyasi.
Taarifa kwa mwenyekiti baba v na rais arushaone wakiwa viongozi wetu.
Dada na kaka zangu kokutona amu arabela lady doctor watu8 kaizer judgement ynnah asprin demba chocs filipo heaven on earth mtoto halali na hela na marafiki wote.
Yaani sis kwakweli wifi atusongee mana ni mda sasa...
Nilijua tu umemmwaga mwalu unakimbilia vikinda shauriro
Ha ha ha ha haaaaa!
Nani kakuambia hiii.....!!!!!!!
Tunahitaji wosia wako mzazi.
Ahsanteeeeeee....
wataka mme tena humu kwenye harusi?
Mimi ndo nimeshaoa hivo wala sioi mwingine janeth1 anatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Husband kuna ujumbe wako nimeshndwa kuuelewa njoo ujbu uku..
Mvua inaanza hiyo, ushaweka magodoro juu ya nyumba?
hapo zamani za kale palikuwepo.....!
umekula pilau?
love you too mke wangu.
Husband kuna ujumbe wako nimeshndwa kuuelewa njoo ujbu uku..
Si mniruhusu nisime kipingamizi chenyewe
hahahaha tushahamishwa na mtumbwi jana tutarudi baada ya masika
me napita tu maana sijaalikwa
baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni Mrs. Mwanyasi.
taarifa kwa mwenyekiti Baba V na rais Arushaone wakiwa viongozi wetu.
dada na kaka zangu KOKUTONA amu Arabela Lady doctor watu8 Kaizer Judgement YNNAH Asprin DEMBA Chocs Filipo Heaven on Earth Mtoto halali na hela na marafiki wote.
Nimekuona unanipita na godoro lako hapa
Wifi achana na hayo kaka yetu ni hot cake humu so wanakuonea wivu