Uchaguzi 2020 Natangaza rasmi kumpigia kampeni yeyote atakayesimama dhidi ya Magufuli kwenye Kinyang'anyiro cha Urais 2020 akawa serious

Ushauri wa bure, wakikosa sera safi, usikae kimya, washauri the best way forward na wewe unga mkono juhudi.
2025 tunaweza kui introduce private airports hivyo ile ya Chato tukampa Katto, kisha tukamuomba rais Magufuli ajenge ule uwanja wa ndege wa Omukanjuguti.
P
We jamaa wa Missenyi eti?
 
Mimi kwa kulipenda Taifa hili ,,ntamsapoti Mgombea YOYOTE Imara ,,, orodha yangu ya preference ipo hivi
1;TUNDU ANTIPASS LISSU
2; ZITTO ZUBERI KABWE LUYAGWA
3; JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
Huyu WA mwisho ni BORA KULIKO Nyalandu na Mbowe,pia Wengine katika vyama vingine
 
Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.

Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?

Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya

Britannica
Muunge mkono Magufuli wewe, achana na hao vibaraka wa mabeberu.
 
Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.

Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?

Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya

Britannica

Mkampenie jecha
 
Kuna mstari wa Bible nasikia CCM hawaupendi kabisa " Mwovu hukimbia hata asipokimbizwa"
 
Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.

Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?

Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya

Britannica
Baada ya kukosa uteuzi ndio unamuona jpm kama shetani?? Komaa naye hivyo hivyo hatuhitaji sapoti yako.
 
Wewe akili zako ulizipima wapi na lini ukajua kama ziko timamu?

Kama ulitumia akili hizo kumpigia kura mwaka 2015, hukujua kama akili zako haziko timamu?

Dawa gani umepata kwa sasa ambayo imefanya akili zako kwa kuwa timamu!

Tanzania kuna vituko!
Narudia tena hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaweza kumpigia Magufuli kura.
 
Wewe nilikuambia uombe msamaha kwanza kwa ulitufanyia apo Karagwe,Bukoba Vijijini na Muleba. Kuna siku nitaweka picha yako apa
 
Mimi kwa kulipenda Taifa hili ,,ntamsapoti Mgombea YOYOTE Imara ,,, orodha yangu ya preference ipo hivi
1;TUNDU ANTIPASS LISSU
2; ZITTO ZUBERI KABWE LUYAGWA
3; JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
Huyu WA mwisho ni BORA KULIKO Nyalandu na Mbowe,pia Wengine katika vyama vingine
Afdhali umesema ukweli wako. Umekuwa very fair.
 
Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli.

Bado nawapima
Lissu?
Membe?
Zitto?

Lakin angalizo sera za wapinzani wake zikiwa siyo safi ntakaa Kim ya

Britannica
zitto alivyokamatwa juzi dah! too sad
 
Back
Top Bottom