Gidion Kahola
Member
- May 13, 2013
- 10
- 1
Nina matumain makubwa ya kuendeleza jimbo la iramba magharibi katika elimu, maji na huduma za afya za uhakika! Najiamin na pia nina elimu ya kutosha. Wabunge waliopita wa iramba magharibi hawajasaidia jimbo na matokeo yake wamekuwa kwa masilahi yao binafsi na chama, kuanzia kwa ndugu KIULA, SHANGO, JUMA KILIMBA na mpaka sasa kwa ndugu MWIGULU ambae yuko kwa kazi za chama zaidi. Nimedhamiria kufanya kazi kwa maendeleo ya jimbo langu. Najua ugumu wa kazi hi na mtu ambae anaongoza jimbo kwa sasa anaeonekana kuwa na mbinu nyingi chafu ila na uhakika mwaka 2015 nitaongoza jimbo hili kwa sababu nimejipanga na nina nia ya kuwasaidia wananchi wangu.