Kasema ukweli asije onekana mganga njaa...anatafuta umaarufu.Daah! Jamaa noma sana. Hongera sana.
Ila umeniacha hoi na hiyo bonge la offisi lenye kiyoyozi unalokaa mwenyewe, najaribu ku imagine. But all in all , wewe ni Noma sana
Respect..
Tusubiri hiyo ndoto moja ambayo haijatia kwa chief wetuduuuh twambie basi muelekeo wa nchi yetu
Huyu jamaa hana tofauti na Mimi hasa kupitia familia yangu na ndugu zangu huwa nakuwa wa Kwanza kupewa taarifa Kwa njia ya ndoto na huwa kweli....huwa naulizwa Sana kuhusu mambo yatakayotokea baadae hasa kama kuna shida Fulani ndani ya familia yetu
Ndogo ya NNE ni kifo cha Magufuli, wewe unaelewa kiswahili?Tusubiri hiyo ndoto moja ambayo haijatia kwa chief wetu
DUh wee jamaaa uliota hii 2016...roho wa Bwana yu ndani yako, una karamaKesho inshaalah ntaelezea ndoto moja miongoni mwa nne nilizoota kuhusu Rais wetu lakini nawaombeni tumuombe sana ili mungu amuepushie.Katika ndoto nne nilizoota kuhusu huyu kiongozi wetu yaani kuanzia mchakato katika chama chake mpaka kua Rais tatu zimeshakamilika bado moja ambayo hata mimi sitaki itoke
Mchinga soundHuyu jamaa hana tofauti na Mimi hasa kupitia familia yangu na ndugu zangu huwa nakuwa wa Kwanza kupewa taarifa Kwa njia ya ndoto na huwa kweli....huwa naulizwa Sana kuhusu mambo yatakayotokea baadae hasa kama kuna shida Fulani ndani ya familia yetu
Hiyo ndoto aamuke mapema isiishe aiseeKaota Samia Ni rais kwa miaka 15 zaidi baada ya katiba mpya
Kuna vitu vingine sio vizuri kuvijua kabla kwani inauma sana kujua halafu muhusika unamjua,WALICHOMFANYIA MCHUNGAJI MTIKILA AMBAYE SASA NI MAREHEMU roho iliniuma sana lakini sikuwa na la kufanya.Yaani MTIKILA ndio ilikuwa kama nimewashiwa TV naambiwa haya angalia kitakachotokea kwa huyu mtuAjitokeze basi japo atuambie ikiwa kuna ndoto nyingine ameota.
Hahahahahahahahahhahaaha.Ndio mimi ni JINI MAHABA kama unanikubali tufunge ndoaWewe ni JINI
Aiseeee ni balaaaKuna vitu vingine sio vizuri kuvijua kabla kwani inauma sana kujua halafu muhusika unamjua,WALICHOMFANYIA MCHUNGAJI MTIKILA AMBAYE SASA NI MAREHEMU roho iliniuma sana lakini sikuwa na la kufanya.Yaani MTIKILA ndio ilikuwa kama nimewashiwa TV naambiwa haya angalia kitakachotokea kwa huyu mtu