Hebu come this way nikufanyie ukaguzi wa mwisho...Here ur my swty babu,
Km unavoona maandalizi ya ya harusi yanaendelea,
Na rejao ndio chaguo langu,
Kwa heshima yako nakuomba utupe baraka zako,km ulivoniahidi baada ya ukaguzi wako.
Ukisusa mwenzio nala...
Kongosho Come this way baby...
Kongosho Asali ya ODM.
Source: ODM
Huu msredi umeniliza wivu sana...
Ngoja nisepe...:A S-coffee:
Its too late my swty babu,Hebu come this way nikufanyie ukaguzi wa mwisho...
Siku ile sikumalizia ukaguzi vizuri:juggle:
ODM is happy...Cup cake, cream tata
Banana cake, you are first candidate ujue
:grouphug: nyie wawili tu nawahug
Wivu suna Babu ODM
Mie wako wa ndoa
Tena hadharani
Hata hii miti ni mashahidi
Hebu Asprin rudia rudia hayo maneno ili yakuingie vizuri!!!!Its too late my swty babu,
Kwa sasa rejao pekee ndio ana access ya pale mahala,
Hope atakusaidia kumalizia teana kwa ufundi hasa,so usiwe na shaka kbs!!!
Mjukuu yuko kwenye mikono salama kbs.
rejao na canta nimewaaminia
Pole sana my dia Smile...nakukabidhi leo kwa Babu Asprin akupet peti!!hadi nimejichokea
ODM is happy...
Hebu ambia watu wanisomee hiyo bold kwa sauti niirekodi...
Afu uje this way umtumie ODM utakavyo.
Thanky you my swty babu,
Kwa sasa rejao bado hana access ya pale mahala,
Ntakuja unikague kwa ufundi hasa,so usiwe na shaka kbs!!!
Mjukuu niko njiani nakuja
Nimeamua niongeze font ili nawe uyasome bila ya kuvaa mawani.....Hebu Asprin rudia rudia hayo maneno ili yakuingie vizuri!!!!
Pole sana my dia Smile...nakukabidhi leo kwa Babu Asprin akupet peti!!
huyo mzee nitampeleka wapi mimi? ujana wake ale na nani aje kunifia mimi akhaaaPole sana my dia Smile...nakukabidhi leo kwa Babu Asprin akupet peti!!
Orayt... kumbe unajali maslahi yangu. Mwambie aje kesho, leo niko busy na mamsapu wangu huyu hapa chini.Pole sana my dia Smile...nakukabidhi leo kwa Babu Asprin akupet peti!!
Orayt... Nadhani umekuja na ubani... hebu uchome kabisa manake leo nataka tulale mkekani tukitafakari....Nshafika..
Tumia tu, ndo kazi yake.
Usijali sweetie...Ujue ntakubamidha
Na kwa ODM unaletea mamluki??
Pole sana mamito,hadi nimejichokea
Hahahaha...maneno ya mkosaji bana!!huyo mzee nitampeleka wapi mimi? ujana wake ale na nani aje kunifia mimi akhaaa
Usijali sweetie...
Huu mwili na viungo vyote ni mali yako peke yako.
Wengine wataishia kuangalia tu... watanawa lakini kula utakula weye.....
Khaaaaaaa,Thanky you my swty babu,
Kwa sasa rejao bado hana access ya pale mahala,
Ntakuja unikague kwa ufundi hasa,so usiwe na shaka kbs!!!
Mjukuu niko njiani nakuja
Nimeamua niongeze font ili nawe uyasome bila ya kuvaa mawani.....
Ooohh!my swty darling,come this way plz,
Nimekuandalia ile kitu unapenda,
Nikulishe na matunda,
Najua baadhi hawajapenda,
Hata wasipotaka nitakupenda,
Kwa mawazo watabakia kukonda
Penzi lako nitalilinda,
Mpaka kifo kitakapo tutenga!!!
huyo mzee nitampeleka wapi mimi? ujana wake ale na nani aje kunifia mimi akhaaa
khaaaa umekula bange au?oooh darlin,
Umeleta kwangu mwanga,
wengine nawaona wanga,
maisha sote tumeyapanga,
Naahidi kutoyakaanga.
Tumkaribishe kwetu Bishanga,
Wazushi wengine kama akina Kongosho, Smile na Asprin..wote tuwakimbize kwa mapanga!!