Natangaza nampenda "Smile"

hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh

tunaogopa kufunguka ila wengi tu tunakufagilia
 

Kwa hiyo unatutangazia tukusaidie kukutongozea?
 
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh
Jamani nampenda Marytina hata raha nakosa...tukutane pale ma..ko bar tule kuku na maongezi ya kina...
 
Mwenyewe kasema tufunge thread hii, kumbe Rijao smile mambo yako eee? basi namhurumia maana kwa akili yako na yake vitu viwili tofauti. lakini nitam PM akusaidie kukubadilisha mtazamo.

Kwenye nyekundu soma kwa makini usoje kupata mshtuko
 
rejao alikuwa anampenda smile lakini alikuwa anashindwa kumwambia sasa mimi nimemwambia anaanza kuona wivu. Ananikumbusha kuna rafiki yangu alikuwa anampa vitu mwanamke bila kumwambia kuna jamaa akaja moja kwa moja akamwambia wakakubaliana jamaa mwingine yule akaanza kudai vitu vyake vyoote alivyowahi kumpa. Sasa smile umechukua nini cha Rejao?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…